Fikira kuhusu asili yangu ya ukweli

By: Alfred Kengere RScP 

Asili yangu ya ukweli ni kukubali kwamba uhuru ni haki yangu ya kuzaliwa.

Asili yangu ya ukweli ni kupenda na kuachilia chochote cha zamani na cha siku zijazo, na kujielekeza katika hali ya sasa, kwa kuwa yaliyopita yamepita na yajayo bado hayajafika.

Asili yangu ya ukweli ni kujisamehe na kukubali kwamba maisha ndiyo yote yaliyopo.

Asili yangu ya ukweli ni kuelekeza fikira zangu kwenye wazo moja linalotoa nafasi ya ubunifu, badala ya kuzingatia mawazo mengi ambayo mara nyingine yanakinzana.

Asili yangu ukweli ni kubaki halisi bila kujali hali yoyote.

Asili yangu ya ukweli ni kukusanya mawazo chanya yanayoleta udhihirisho chanya.

Asili yangu ya ukweli ni kuomba bila kukoma na kumuomba mungu aniwezeshe kuona wazi.

Spirit Is Already Within You    

I know that my search is over. I am consciously aware of the Presence of the Spirit.

I have discovered the great Reality. I am awake to the realization of this Presence.  There is but One Life. Today I see It reflected in every form, back of every countenance, moving through every act.  I know that the Divine Presence is everywhere.  I salute the good in everything. I recognize God-Life responding to me in every person I meet, in every event that transpires, in every circumstance in my experience. I feel the warmth and color of this Divine Presence forevermore pressing against me, forevermore welling up from within me-the wellspring of Eternal Being, present yesterday, today, tomorrow, and always.

                                                               How to Change Your Life,  p.271